obama akiwa na mtoto wake wa kike, malia obama
Habari kubwa iliyotawala tasnia ya habari duniani leo ni kuhusu Wakili kutoka nchini kenya Felix kiprono amabye ameushangaza umma baada ya kutangaza nia yake ya kutoa posa ili kumuoa mtoto wa raisi wa marekani,malia Obama mwenye umri wa miaka 16.Taarifa zinasema kuwa wakili huyo wa kenya amesema yuko tayari kutoa mahari kwa mtoto wa raisi wa Marekani na atatoa ng'ombe 50,kondoo 70 na mbuzi 30 kwa ajili ya mahari ya mtoto wa Obama,Malia Obama.
felix kiprono,wakili aliyetangaza nia kumuoa mtoto wa obama, Malia obama.
No comments:
Post a Comment