Monday, May 11, 2015

PICHA! DIAMOND ATHIBITISHA KUFANYA COLLABO NA P SQUARE.

Share it Please
Siku chache zilizopita usiku wa may 9,2015 msanii wa kizazi kipya kutoka Tanzania Diamond Platnumz alithibitisha kupitia account yake ya instagram kuwa amefanya collabo na wasanii P Square kutoka nigeria. 
Diamond alithibitha hayo kupitia picha yake aliyoiweka akiwa na wasanii hao wakubwa barani africa na Dunia kwa ujumla ambao tayari wameshafanya collabo na wasanii wakubwa duniani kama Rick Ross na T.I.

ENDELEA KUHABARIKA KUPITIA BLOGU HII PENDWA YA habarikabongo.blogspot.com


No comments:

Post a Comment

Followers

Follow The Author