
Mbunge wa rumeru mashariki,mh Joshua nassari alionyesha ambulance 2 alizotoa kwa jimbo lake.

umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo.
Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema ambaye pia ndiye aliyeteuliwa na Chadema Kanda Ya Kaskazini kuwa kiongozi wa kampeni za Hamasa ya kujiandikisha kanda ya kaskazini amewaambia wananchi wa Arusha kuwa safari ndio imeanza sasa kuelekea majimbo yote 33 ya kanda ya kaskazini kuhakikisha Watanzania wanajiandikisha kwa wingi ili October tufanye maamuzi sahihi

Msanii wa mziki wa kizazi kipya anayewania ubunge wa jimbo la mikumi mjini morogoro akizungumza na wananchi wa Arusha mapema jana katika mkutano wa kuwahamasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura ili kuiondoa CCm madarakani kwenye uchaguzi ujao utakaofanyika oktoba mwaka huu.

No comments:
Post a Comment