Thursday, June 11, 2015

BONGO STAR SEARCH 2015 YAJA KIVINGINE. "JUKWAA LAKO, KUWA ORIGINAL"

Share it Please

Mkurugenzi wa benchmark productions ambao ni waandaaji wa bongo star search 2015 Madam Ritha( kati kati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa msimu mpya wa shindano hilo la kusaka vipaji vya kuimba.

Kushoto ni Madam Rita, kabla ya uzinduzi akiwa na mmoja wa wadau, kulia ni mbunifu wa mitindo nchini Ally Remtullah.

Madam Ritha na wadau wakati wa uzinduzi wa shindano hilo

Baadhi wa waandishi wa habari wakifuatilia kipindi maalumu cha wasanii na washindi waliopita katika shindano la BSS, miaka ya nyuma.
Sehemu ya waraka na ratiba ya shindano hilo.
Picha kwa hisani ya Global Publishers Limited.

No comments:

Post a Comment

Followers

Follow The Author