Thursday, June 11, 2015

KUELEKEA UCHAGUZI 2015, MH JANUARY MAKAMBA ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA NA CCM KWA NAFASI YA URAISI JANA.

Share it Please



January Makamba akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto ni Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa (Nec) ya CCM wa Idara ya Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatibu.Kulis ni Mkewe mh. January Makamba. Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma mapema jana. 


MBUNGE wa jimbo la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba akisaini kuchukua  fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).  Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana.



Wasanii kibao walikuwapo kumsindikiza

Mzee Yusuf Makamba na mkewe walikuwa mstari wa mbele




No comments:

Post a Comment

Followers

Follow The Author